Tuesday, 20 May 2014

USHAURI WENU NI MUHIMU SANA KWA MWANAMAMA HUYO...........



Habari za wakati huu wapenzi marafiki zangu na wasomaji wa blog hii…..Kuna rafiki yangu kipenzi ana matatizo na anaitaji ushauri alinifwata mimkuniomba ushauri ila nikaona kabla cjamshauri chochote nipate mawazo kutoka kwa marafiki kwanza
…………”Anaitwa Anneth ana umri wa miaka 29 alibahatika kupata mchumba baadae wakakubaliana na mchumba wake huyo wakatambulishana kwa wazazi wazazi bila hiyana wakakubaliana na swala lao ila kabla ya kufunga ndoa kanisani wao wenyewe wakaamua kuishi pamoja ndoa baadae wakaa muda wa miaka mitatu na wakabahatika kupata motto  mmoja wa kike  ila sasa anavyoniambia yeye baada ya kupata huyo motto mume wake akaanza kubadilika ikatokea wakakosa kuelewana Yule msichana ikabidi akawaambie wazazi wa pande zote mbili kwa vile mama ni mama na hakuna mama anaetaka mwanae apate shida angali yupo hai aka mwambia mwanae wewe njoo nyumbani mpe mumeo nafasi ya kutafakari na wewe pia upate muda wa kutafakari na kumuomba Mungu sasa bhasi hiyo nafasi tu ya huyo dada kurudi kwao mwanaume akufikiria wala kutafakari chochote mume wake akaamua kuoa mwanamke mwingine kiukweli amenifwata kuniomba ushauri analia sanaa paka mwenye nikashindwa nimwambie nini ndo nikamwambia ucjali kwasababu ss tuna blog yetu ang ur story is very interested ntaiandika kwenye blog na ushauri watakaotoa wasomaji ntakambia sasa jamani embu mshaurini mtanzania mwenzetu maana anavyoniambia bado anampenda mume wake na kinachomuumiza nafsi na kumkoshesha Amani ni mtot wake anapatashida kila wakati anataka kumuona na kukaa karibu na baba yake………….. jamani hii ni ishu ambayo ni serious kwahy wadau msifanye utanii ili tuweze kumsaidia ndugu yetu huyu………………………………………….

No comments:

Post a Comment