Thursday, 3 July 2014

Utafiti: Kulala bila nguo na mwenzi wako ni chanzo cha uhusiano wenye furaha

Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Cotton USA wapenzi wengi waliodai kulala utupu wamedai kuwa hiyo ni sababu moja wapo ya uhusiano wenye furaha.
Asilimia 57 ya wale wanaolala bila nguo walidai kuwa na furaha kwenye mahusiano yao, ukilinganisha na asilimia 48 wanaolala na nguo za ndani, asilimia 43 wanaolala na nguo za kulalia. 
 
Kwa mujibu wa Bollywoodshaadis.com, kulala bila nguo kuna faida hizi zingine:
 
Enhanced lifestyle
It relaxes the body and helps in a comfortable sleep. As a result, people wake up refreshed and remain energetic all day along.
 
Protects privates
Sleeping naked increases ventilation to a woman’s private area making it comfortable and keeping it dry; thereby avoiding chances of fungal infection. For men, it has also been found to increase fertility by keeping the testes at adequate temperature and retaining the sperm quality.

No comments:

Post a Comment