Hawa hapa juu ni baadhi tu ya wateja
waliojinunulia bangi yao toka ipitishwe kisheria huko Colorado Marekani
ambapo hii picha walikua wakiukaribisha mwaka mpya 2014.
Kwenye hii picha hapa juu na hii ya
chini ni foleni ya watu wakiwa kwenye foleni kuingia kwenye duka la
kuuzia bangi, hii ni foleni kwenye siku ya kwanza kabisa hawa walikua
miongoni mwa wateja kwenye moja ya maduka ya kuuzia hizo bangi ambazo
ziko kwenye ladha tofauti mfano strawberry.
Huko
Colorado Marekani dawa ya kulevya aina ya bangi imeruhusiwa kisheria
kuuzwa na kuvutwa lakini kununua ni lazima uwe na umri wa miaka 21,
nimeona maduka mengi ukiingia kuna mlinzi mlangoni ambae ni lazima
umuonyeshe kitambulisho.
Bangi
hii inafungwa kwenye mfuko maalum ambapo hauwezi kufunguliwa kirahisi
na mtoto mfano akiikuta mahali ambapo kuna duka moja niliona Wafanyakazi
wanasema wamepata wateja zaidi ya mia tano toka bangi iruhusiwe siku
chache zilizopita na wanayo bangi ya kutosha kwa ajili ya wateja
wengine.
Hii
picha hapa juu ni bango lililowekwa huko Denver Colorado kuwakumbusha
watalii pamoja na wakazi kuhusu bangi kuruhusiwa kisheria pamoja na
vitu vingine vinavyohusiana na hii ishu.
Surrounded
by a swarm of media in a small retail marijuana sales room, the first
official recreational marijuana purchaser ,Sean Azzariti of Boston,
reaches for his first marijuana selection handed over by store owner
Toni Fox at the 3D Cannabis Center. Photograph: UPI/Landov/Barcroft
Media
Maduka mbalimbali yaliyo na kibali cha kuuza bangi.
No comments:
Post a Comment