
Mwanzo wa harakati za M4C -PAMOJA DAIMA ndani ya Manispaa ya Mji wa Bukoba leo ambapo Chama Cha Maendeleo na Demokrasia (Chadema) kinaendelea kupasua anga kwa kutumia Helkopita ili kuwafikia wafuasi wao kwa haraka

Chopa ya Chadema ikiwa katika viwanja vya Uhuru mjini hapa

Muda mfupi baada ya helikopta kutua katika viwanja vya uhuru Mjini Bukoba

Hekaheka baada ya helikopta kutua

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwasili katika viwanja vya Uhuru Platform mjini Bukoba kwa ajili ya mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima, uliofanyika leo Jan 26,2014


Picha mbalimbali za Matukio ya mkutano wa hadhara wa chadema Operesheni M4C Pamoja Daima,uliofanyika kwenye Uwanja wa uhuru Uswahilini jioni ya leo


Baadhi ya wananchi wa mji wa Bukoba wakiwa wametulia wakati wa mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima wa Chadema, uliofanyika kwenye Uwanja wa uhuru


Hotuba zote Audio na video zinapatikana hapa hapa bukoba wadau blog.Ukianzia mwanzo wa habari iliyopo juu ya hii, Picha zaidi zinapatika kwenye ukurasa wetu wa facebook.

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),Freeman Mbowe akihutubia mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima, uliofanyika kwenye uwanja wa uhuru leo.

Makamu Mwenyekiti wa chadema Zanzibar, Mh.Said I. Mohamed akiwahutubia wakazi wa Bukoba

Makamu Mwenyekiti wa chadema Zanzibar, Mh.Said Issa Mohamed akiendelea kuhutubia katika mkutano wa Operesheni Pamoja Daima Mjini Bukoba.

Godbless Jonathani Lema Mbunge Jimbo la Arusha mjini(Chadema) akiwahutubia mamia ya wakazi wa mji wa Bukoba na Vitongoji vyake Jan 26, 2014

Wananchi wakiendelea kumsikiliza Mh. Lema.

Wafuasi wa CHADEMA wakimsikiliza Mbunge Jimbo la Arusha mjini(Chadema ) Godbless Lema alipokuwa akiwahutubia leo katika mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima

Mbunge Concesta Rwamlaza Chadema viti Maalum (Bukoba) azungumza juu ya hali mgogoro wa kisiasa ndani ya Manispaa ya Mji wa Bukoba

Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema, Wilfred Lwakatare akiwahutubia maelfu ya wananchi mjini Bukoba katika mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima uliofanyika leo Jan 26,2014 katika uwanja wa Uhuru( Mayunga)

Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema, Wilfred Lwakatarekatika hali ya usikivu.


Sehemu ya wanahabari wakiwajibika.

Mkutano ukiendelea wakazi wa Manispaa ya Mji wa Bukoba wakimsikiliza Mbunge wa Ubungo Mh. John Mnyika

Mh.Mbunge wa Ubungo John Mnyika akiwahutubia wananchi wa mji wa Bukoba na vitingoji vyake katika mkutano wa hadhara wa Operesehni M4C Pamoja Daima

Mbunge wa Biharamulo Magharibi Dk.Anthony Mbassa akiwahutubia wananchi wa mji wa Bukoba na vitingoji vyake katika mkutano wa hadhara wa Operesehni M4C Pamoja Daima

Sehemu ya Mamia ya wakazi wa Manispaa ya Bukoba waliojitokeza katika mkutano wa Operesheni Pamoja Daima ulio ongozwa na Mh Freeman Mbowe.


Mamia ya wakazi wa Manispaa ya Bukoba waliojitokeza katika mkutano wa Operesheni Pamoja Daima ulio ongozwa na Mh Freeman Mbowe,Mh Lema, Mh. John Mnyika na Dk.Anthony Mbassa na Makamu Mwenyekiti wa chadema Zanzibar, Mh.Said Issa Mohamed


Mwisho wananchi wakiwa wamesimama tayari kwa kidedea kuwasindikiza Viongozi wa Chadema

Mwanzo wa Msafara wa maandamano baada ya Mkutano kufungwa.

Viongozi wa Chadema wakiondoka kwa shamrashamra, baada ya kuhutubia mkutano wa hadahara wa Operesheni M4C Pamoja Daima, uliofanyika katika mjini Bukoba.

Mashamsham,Ngembe na vikeleshendo wafuasi wa Chadema wakitoa sopport ya aina yake

Wafuasi wa Chadema katika kidedea kuwasindikiza Viongozi wa Chama chao.

Kidedea katikati ya Barabara ya Jamhuri.

Kutoka uwanja wa Uhurus moja moja hadi stand kuu ya mabus,kukatiza barabara ya tupendane mpaka Jamhuri na sasa makanda ndio haooo..wanaitafuta Uganda road hadi mwisho Victorious Perch Hotel walipofikia Viongozi wa Chadema
No comments:
Post a Comment