Wednesday, 29 January 2014

HIVI NDIVYO MSANII MAARUFU WA KUNDI LA FUTUI ALIVYOZIKWA


Majuto Omary
Mwigizaji wa filamu Swahilihood Marehemu Majuto Omary enzi za Uhai wake.
MAMIA ya wakazi wa jiji la Mwanza wamejitokeza kumzika mwigizaji na mchekeshaji nyota kutoka kundi la Futuhi Mzee Majuto Omari ‘ DUDE ‘ msanii huyo amefariki Leo SAA kumi na moja na kuzikwa leo hii huko jijini Mwanza.

Majuto Omary
Wadau wa sanaa wakiombea dua mwili wa Mzee Omary Dude
Majuto Omary
Mzee dude
Omary Majuto
Watu wakimzika msanii huyo
Majuto Omary
Maandalizi ya kaburi la Mzee Dude
Majuto Omary
Enzi za uhai wake Mzee Omary
Ndugu na jamaa marafiki na wapenzi wa kundi la Futuhi walijitokeza kumzika msanii huyo nyota, ambaye alijizolea umaarufu kupitia kipindi cha vichekesho maarufu kama Futuhi kinachorusha vichekesho vyake kupitia kituo cha Televisheni cha Star tv cha jijini Mwanza, FC tunatoa Pole kwa wafiwa wote. MUNGU AIWEKE ROHO YAKE MAHALA PEMA PEPONI ‘ AMEN.

No comments:

Post a Comment