Thursday 2 May 2013

Pendelea kula samaki upate faida zake katika kujenga mwili................



-Huendesha mfumo wa kinga ya mwili
-Huzuia saratani
-Hutoa ahueni kwa wenye pumu
Hupambana na dalili za awali za ugonjwa wa figo
-Huongeza nishati ya ubongo



-Huyeyusha damu, huifanya kuwa nyepesi
 - 
Huilinda mishipa ya damu isiharibike
-Huzuia damu kuganda
-Hushusha shinikizo la damu
-Hupunguza hatari ya kupatwa na mshituko wa moyo na kiharusi
-Hutuoa ahueni kwa wenye ugonjwa wa kipandauso
-Husaidia kuzuia uvumbe mwilini

No comments:

Post a Comment