Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ya mjini The Hague Uholanzi imeamua
kwamba Makamo wa Rais wa Kenya William Ruto hatohitajika kuwepo katika
vikao vyake vyote vya kesi inayomkabili ya uhalifu dhidi ya ubinaadamu.
William Ruto - Makamo wa rais wa Kenya
Kutokana na uamuzi huo Ruto atapaswa kuwepo wakati wa kusomewa hukumu,
pale waathirika wanapotoa ushahidi wao na siku tano za mwanzo za
kusikilizwa kesi yake.
No comments:
Post a Comment