Mzee Madiba ambaye leo anafikisha siku ya 5 akiwa amelazwa
hospitalini akisumbuliwa na mapafu huko Afrika Kusini, ndiye alikuwa
rais wa kwanza mweusi kwa taifa hilo.
Kwa mujibu wa BBC Kwa sasa Afya ya Mandela bado si nzuri na Rais
Jacob Zuma wa Afrika Kusini anaendelea kuwaomba wananchi wa taifa hilo
kuendelea kumuombea mzee Madiba aweze kupona.
No comments:
Post a Comment