
Msanii aliyetengeneza sanamu la Nelson mandela huko south africa ameingia kwenye matatizo makubwa, baada ya serikali hiyo ya south African kugundua kwamba kwenye sikio la sanamu hilo kuna ka sanamu pia kadogo ka panya, kama inavyo onekana kwenye picha. Serikali hiyo imeamuru panya huyo atolewe haraka kwani haileti picha nzuri au maana yoyote kuwepo na kitu kama hicho.
Msanii
huyo aliomba radhi kwa kutuma email kadhaa kwa serikali, lakini hakuna
iliyojibiwa, baadae alipewa msamaha ila pia alijibu makosa kwanini
aliamua kuweka kitu kama hicho kabla ya kutoa taarifa kwa serikali na
pia kutoa maana yake
No comments:
Post a Comment