ONYESHA UPENDO KWA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI,TUNAFAHAMU KUWA SIKU ZOTE NI WATU WANAPENDANA ILA IMETENGWA SIKU HII ILI UPATE NAFASI YA KUKAA NA KUTAFAKARI NA KUONYE UPENDO KWA WALE UWAPENDAO.
NA SIKU HII SIO SIKU YA KUFANYA MAOVU BALI NI SIKU YA KUKAA NA KUFURAHI PAMOJA NA WALE UWAPENDA.........
BLOG HII INAWATAKIA CKU NJEMA YA WAPENDANAO NA MSHEREHEKEE KWA AMANI
LOVE U ALL AND HAPPY VALENTINE DAY...
No comments:
Post a Comment