Mimi ni mtanzania
ninaeishi swaziland katika mji wa MPAKA niko hapa toka mwaka 89 nimeoa
na nina watoto wanne kwa mke wangu ambaye kwa kabila ni mngwane, kabila
hili (japo si yote) lina mila na desturi zake ikiwamo hii ambayo
wanaamin huwasaidia mabinti zao kuwa mbali na matendo yahusuyo ngono na
wakifanikiwa kwa hilo binti anaechumbiwa au kuolewa anaonekana shujaa na
familia anayotoka uthaminiwa sana.
Mwanzo
kwangu hili zoezi lilioneka gumu sana lakini toka nimuozeshe binti
yangu aliyemaliza chuo kikuu guateng south afrika imenipa hari kubwa
sana ya kudumisha huu utamaduni hapa nyumbani tz.
Kutokana
na matatizo ya kifamilia ikiwamo misiba ilinilazimu nije na familia
yangu yote mosi kuhani misiba na pili ni kutumia fursa hiyo
kutambulishana kifamilia kwani ni kitambo hatujaonana lakini
kinachonishangaza ni kuwa toka nifike hapa nyumbani (itumba) nimekuwa
nikipokea shtuma toka kwa majiran kuwa kitendo anachowafanyia mke wangu
kuwakagua watoto wetu si cha kiubinadam ikizingatiwa watoto ni wakubwa
na wamekwisha vunja ungo ingawaje nimepata taarifa hivi punde kuwa kati
yao mmoja wao si salama kwani kipimo kinaonyesha 'kimepitiliza'
Nina
mwezi mmoja tu wa kuwepo hapa na kama si bahati mbaya basi huenda
nikapoteza kabisa sifa ya mabinti zangu kwani pande king mswati wamekuwa
lulu, nimejenga nyumba nimenunua gari na sasa nategemea kusomesha
watoto wa dadaangu marehemu na hilo litafanikiwa tu nikirudi na familia
yangu salama pande zile za MPAKA swaz kwani tz ya sasa si ya kipindi
kile majungu umbea vijana wamekalia vijiwe tu kupiga domo.
Ushauri wangu kwenu na hasa nyie vijana waleeni watoto wenu katika mfumo huo wa 'kaunta attack' kwani dunia ya sasa imearibika.
No comments:
Post a Comment