Kuna
misemo ya kiswahili ambayo siku zote huonekana utani mfano wa msemo huu
kosea. kosea vyote ila usikosee kuoa .leo katika ukurasa wa mapenzi
tutajaribu kuweka wazi baadhi ya wanawake ambao wewe kama mwanaume
unapaswa kuwaogopa sana katika maisha yako
WAPO wanawake ambao hawastahili kutongozwa au hawafai mwanaume kua na urafii nao hasa ule wa kimapenzi.
Uwezo wa kuwatambua wanawake wa namna hiyo, ndiyo utakutofautisha mwanaume kamili na wanaume washamba wanaoparamia mapenzi.
Wanawake ambao hawafai wana sifa hizi.
1. Watafutaji
Wapo wanawake ambao wanasema kabisa kuwa
hawahitaji wanaume lakini ukweli moyoni mwake anataka kuwa na mwanaume.
Ukimpata mwanamke wa namna hii kwa kumazimisha utakipata cha moto maana
yeye mapenzi kwake amekuwa kama toashi.
2.Bikira.
Mwanamke mwenye bikra kwa wanaume
wanaotaka ngono kabla ya ndoa siyo rahisi kumpata na hata ukimpata
hautafurahia mambo fulani wasababu hajui mambo mengi ya kumsisimua
mwanaume.
3.Asiyeridhika.
Kuna wanawake hata ukienda raundi za
kutosha huwa hawafiki kileleni hivyo kwa wanaume wa mwendo mmoja tarajia
nyimbo na lawama ama masimango hata ungemfanyia jambo lolote zuri.
4.Mchoyo.
Kufika kwake kileleni ni muhimu kuliko
kufika wewe. Hii hutokea zaidi kwa wanawake warembo na wazuri na
wanafanya hivyo na kukataa kuendelea na mchezo ambapo wanaume wengi kwa
kubabaika kuachwa na wazuri wao hao wanawatii kwa kinyongo.
5.Jamvi la wageni na mchunaji
Akitaka
yeye hata kama umechoka siku hiyo lazima anakulazimisha lakini yeye
hata kama wewe umetingwa atakuambia hataki na amechoka, pia huuliza
maswali na kujijibu mwenyewe...mfano''kwani wewe bado.....mimi tayari''
No comments:
Post a Comment