Friday 11 July 2014

DONDOO ZA MAHUSIANO:Mambo Yanayokera Wafanyayo Wanaume Kwenye Mahusiano ya Kimapenzi



Kutokubali majukumu , mwanaume umeamua kuwa na mpenzi kuwa responsiblena take care of your famili kama ukibahatika kupata mtoto. kwa wadadaukiona mwanaume hayupo responsible ukiwa nae jua hadi kitandani ni mvivuwa kutupa ndio wa kwanza kulalama mmh ujui kukata kiuno. Kukiss ujuiakilalamika hivyo kaa kimya uone kama anaweza kazi..... utasikiawanawake wanachuna tutaachaje kuchuna wakati kutoa kwa hiyari amtakimjifunze.

Kujinunisha hovyo hovyo hivi mwanaume unasusa ili iweje ... he he susa wenzio wala.   Kuwa mchoyo.. unakuta mwanaume ni mchoyo kiasi kwamba hata kuhudumiana ni tatizo... mwanume pesa yako vitu vyako ni tatizo sasa maana ya mimi kuwa mpenzio au mwili mmoja ni ipi kama unaniwekea demacation kwenye vitu vyako... yani hawa hadi kutoa mawazo ni kazi anaona utafaidi...

Mwanume mbahili yani hadi anaumwa au unaumwa kutoa hela ya kutosheleza
matibabu hato ... yani sasa huyu wimbo wake wa kila siku utasikia sina
hela.. hivi kutokuwa na hela ni sifa au ni uvivu basi tuone unafanya
jambo la maana upuuzi mtupu

Mwanume kuendekeza pombe na marafiki yani unatoa kipao mbele rafiki zako
kuliko mpenzio ukiona hivyo ujue huna future nzuri.... baadhi ya
maandiko yanasema "ajifanyie rafiki wengi ni kwa uangamivu wake mwenyewe
though rafiki anweza kuwa kama ndugu" tafakari.

Wivu uliopitiliza hapa wengi ni 25 na 30 sana hawa ndio tatizo utasikia
baby tuma picha ... tuma picha unatuma bado tena tuma picha ... hivi
niwaulize mnatengenezea movie hizo picha ni nini tatizo?...



   Mambo mengine yanakesa sana unakuwa na mpenzi ila unaona mzigo
    anajijali mwenyewe 2. Unaweza ukawa naye hata kwa miezi nane hata
    mia huijui ila yeye vyako anapenda mara bby niko mbali naomba vocha
    ya 2000 wewe ukija kuomba siku anachuna sasa kama huyo wa nini afu
    ananza kulalamika nimeachwa wanaume wengine mizigo 2 baili hadi
    wanapitiliza kwenye mapenzi ni kusaidiana wote cyo kumkandamiza mwenzio

No comments:

Post a Comment