Sunday, 13 July 2014

KWA WENYE WAPENZI TU,,,,,,,,,, TWENDE SAWAAA



                         Wajua mikao na mitindo ya kungonoana, Namna je?
Ukweli wa siku ya leo ni kuwa mikao na mitindo ya ufanyaji wa mapenzi/ngono ni vitu viwili tofauti na vilevile kuna namna ya kufanya mapenzi/ngono kitu ambacho ni kitu kingine kabisa ambacho kinajitegemea na hutegemea zaidi nia yenu ninyi wawili au wewe peke yako siku hiyo, ndoa/uhusiano ulipo/unapokwenda, matatizo ya kimaisha, n.k.

Sote tunajua na kufanya aina tofauti za mikao na mitindo ya kufanya ngono/mapenzi ili kufurahia utukufu wake Mungu aliotujaalia lakini sidhani kama ulikuwa ukijua kuwa mikao na mitindo hiyo ina namana yake ya kujiandaa na kuifanya kwa vile ukiifanya yote hakika utaishiwa (kwa wale wenzangu ambao wanajipatia mizunguuko kila siku) na matokeo
yake maisha ya kingono kwenye uhusiano wako yanamuwa "boring".

1-Namna ya kwanza ni ile ya kutopoteza muda sana ambayo inamchanganyiko wa kungonoka na kufanya mapenzi at the same time. Mikao yake ni kifo cha mende na mitindo yake, "doggy" na mitindo yake, kusimama na mitindo yake, "spooning" na mitindo yak....n.k. nia na madumuhi ya hii namna ni kuridhishana kingono, yaani hapa kilele/vilele ni muhimu.

2-Namana ya pili ni kufanya mapenzi ki-"sensual" ambapo mwanamke au mwanaume anakuwa kaandaa mazingira mazuri ya kuvutia, udi/manukato, mishumaa, maua aina ya fulani ya nguo
ndogo(chupi/sidiria/kijigauni/khanga/mtandio n.k.) ya kuvutia, matunda, kinywaji kama vile champagne, kioo,....mara nyingi hii huwa tunaifanya kwenye fungate ya pili(kukumbushana mlipotoka na kuwa bado unampendamwenzio hasa kama mmekaa muda mrefu ktk ndoa au ni busy ppl) au ktk kusheherekea miaka fulani ua ndoa/uhusiano wenu. Wakati mnafanya mapenzi mnayafanya taratibu na kujaribu kujifunza na kufurahia kila kona ya miili yenu kabla hamjamalizia kilele.......hapa huruhusiwi kukimbilia mshindo au ku-focus kwenye kilele......wewe furahia maumbile ya mwenzio, haraka za nini?

Mikao mizuri ni kipepeo, kumi na moja, kumi na saba,kifo cha mende, spoony.....buni yako kivyako ila sio ile ya sulubu/migumu.

No comments:

Post a Comment