Sunday 13 July 2014

Watumiaji wa kucha bandia hii inakuhusu,Soma kilicho mtokea huyu mdada

Msichana Sarah Greenaway mwenye umri wa miaka 17 amekosa kidole chake baada ya kutumia gundi ya kugandishia kucha bandia.
Kidole cha dada huyo kilianza kubadilika kuwa bluu na baadae njano muda fulani baada ya kuweka gundi hiyo.
Alipelekwa hospitali na kufanyiwa upasuaji ambao ulimghalimu kidole chake huko kusini mwa Wales, Uingereza.

 


Jamani uangalifu kwenye utumizi wa vipodozi muhimu.

No comments:

Post a Comment