Thursday 10 July 2014

MAAJABU,BINTI AKUTWA AMELALA KWENYE KABATI LA CHIPS JIONEE HAPA


 "Dada akutwa kalala kwenye kabati ya chips maeneo ya Yombo Vituka leo asubuhi. Muuza chips alifunga kabati na kufunga eneo lake labiashara kwa kufuli kisha akaenda kulala.
Asubuhi alipofungua ndipo akamkuta mwanadada amelala juu ya chips na mishkaki akiwa hajitambui. Bado haijajulikana aliingiaje maana hakuweza kuongea baada ya kutolewa.!"

No comments:

Post a Comment