Kiukweli
sipendi na nachukia sana uvaaji wa aina hii maana ni kujidhalilisha na
kujishushia heshima yako mwenyewe. Kila ninapoona vijana wa Kitanzania
wanapojidhalilisha kwa kuvaa suruali chini ya makalio, ningekua na uwezo
ningeanzisha seria kali dhidi ya uvaaji huu wa suruali chini ya
makalio. |
No comments:
Post a Comment