Hawa hapa juu ni baadhi tu ya wateja 
waliojinunulia bangi yao toka  ipitishwe kisheria huko Colorado Marekani
 ambapo hii picha walikua  wakiukaribisha mwaka mpya 2014.

Kwenye hii picha hapa juu na hii ya 
chini ni foleni ya watu wakiwa  kwenye foleni kuingia kwenye duka la 
kuuzia bangi, hii ni foleni kwenye  siku ya kwanza kabisa hawa walikua 
miongoni mwa wateja kwenye moja ya  maduka ya kuuzia hizo bangi ambazo 
ziko kwenye ladha tofauti mfano  strawberry.

Foleni nje ya duka la kuuzia bangi mazee.
Huko
  Colorado Marekani dawa ya kulevya aina ya bangi imeruhusiwa kisheria  
kuuzwa na kuvutwa lakini kununua ni lazima uwe na umri wa miaka 21,  
nimeona maduka mengi ukiingia kuna mlinzi mlangoni ambae ni lazima  
umuonyeshe kitambulisho.
Bangi
  hii inafungwa kwenye mfuko maalum ambapo hauwezi kufunguliwa kirahisi 
 na mtoto mfano akiikuta mahali ambapo kuna duka moja niliona Wafanyakazi
  wanasema wamepata wateja zaidi ya mia tano toka bangi iruhusiwe siku  
chache zilizopita na wanayo bangi ya kutosha kwa ajili ya wateja  
wengine.
 Hii
  picha hapa juu ni bango lililowekwa huko Denver Colorado kuwakumbusha 
 watalii pamoja na wakazi kuhusu bangi kuruhusiwa kisheria pamoja na 
vitu  vingine vinavyohusiana na hii ishu.
Hii
  picha hapa juu ni bango lililowekwa huko Denver Colorado kuwakumbusha 
 watalii pamoja na wakazi kuhusu bangi kuruhusiwa kisheria pamoja na 
vitu  vingine vinavyohusiana na hii ishu.

 Surrounded
  by a swarm of media in a small retail marijuana sales room, the first 
 official recreational marijuana purchaser ,Sean Azzariti of Boston,  
reaches for his first marijuana selection handed over by store owner  
Toni Fox at the 3D Cannabis Center. Photograph: UPI/Landov/Barcroft  
Media

Media Maduka mbalimbali yaliyo na kibali cha kuuza bangi.
Maduka mbalimbali yaliyo na kibali cha kuuza bangi.

No comments:
Post a Comment