Tuesday 28 January 2014

Dunia inamambo haya ni maajabu kutokea wanawake sasa wageuka wabakaji na idadi inaongezeka zaidi soma hapa

Imeripotiwa kuwa Idadi ya wanaume wanaobakwa na wanawake huko zimbabwe imekua ikiongezeka kwa kasi kila kukicha, mwanaume mmoja anaefahamika kwa jina la Al Bayan aliwashtaki wanawake watatu kwa kosa la kumkaba kumpiga na kumbaka kwa zamu katika mji wa Bulawayo polisi wanasema hiyo ni kesi ya sita ya ubakaji wa wanaume tangu mwaka huu uanze,

mwanaume mwingine anadai kupewa lift na wanawake wawili ambao badae wlimpulizia chemiko na alposhutuka ndipo alipogundua kuwa alikua amebakwa.wanawake hao pia wlimwiba simu pamoja na pesa kiasi cha dola 20. 
 

No comments:

Post a Comment