Friday 21 February 2014

HII INAWAHUSU MABINTI ZAIDI,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,


Mabinti someni msije sema sikuwaambia maana mimi simo


1.Usiusikilize ushauri wa rafikio wa kike asiye na mpenzi/ aliye single

2.Mfariji na msifie mwanaume wako pale anapotoka kazini au kukutendea jambo ulilohitaji au mlilohitaji


3.Tambua na jitahidi ujue mwanaume wako anapendelea nini

4.Jenga mazingira ya kuMUONYESHA unamuamini pia punguza wivu wa kijinga

5.Usiwe mtu wa lawama kila wakati yani kila muda we ukimuona ni malalamiko, kesi , kumfokea, na stori za umbea,

6.Uwe na hekima pia busara ktk matumizi ya mali za mpenzio hakikisha unamfanya anakuwa na vitega uchumi vya kuwaimalisheni kesho na kesho kutwa

7.Kuwa na hulka ya kike katika mahaba usim banie hata robo/ acha
kujifanya kauzu/ au mgum /hardcore/ atakutafutia nyumba ndogo

8.Mara nyingi jaribu kumtafuta pale amalizapo ubize a akiwa bize.

9.Mshukuru kwa kila jambo akufanyialo hata kama hujihisi kufanya

10.Jitahidi kuwa msafi muda wote si pale tu unapokuwa naye au unapotaka kuonana nae

mwisho na muhimu kuliko vyote mpende yeye pa1 na familia yake
kama huwapendi ndugu ni bora ukae kimya na usimwambie

No comments:

Post a Comment