Haya ni maneno au kauli ambazo mume/mke anaweza
mwambia mwenza wake kama ishara ya kumpandisha "nyege" kabla ya kuanza
kufanya mapenzi. Wawili hawa wanaweza wakawa sehemu tofauti tofauti,
mfano mume yupo kazini lakini anakaribia kurudi nyumbani, mke ukaanza
"kumcharura" mumeo kwa kauli mbali mbali aidha kupitia sms au kwa
kumpigia simu, ingawa kupitia sms ndo inasisimua zaidi!
Hapa najua naongea na watu wazima, sina haja ya kuandika zaidi
maneno yenyewe lakini kila mmoja ni mjuzi wa tabia na vitu ambavyo
mwenza wake anavihusudu hasa mkiwa kitandani, mfano"
Baby ukirudi leo nataka unipindishe pale katika dressing table kama
ulivyonifanyia jana, na leo nimevaa lile gauni ulipendalo na zile bikini
mpya, dont be late my love" Maneno haya kwa anayejua mapenzi na anampenda mkewe ni lazima huko
alipo "Jogoo" awike kidogo! nayeye hawezi kubaki kimya lazima
atajibu mashambulizi, nna uhakika itafikia point kila mtu, Udenda
Utamtoka kwa nafasi yake.......! Na kila mmoja akawa na hamu ya mapenzi
na mwenzie! Tuyatumie Maneno hayo kwa nafasi zetu! Yanahusika saaana!
No comments:
Post a Comment