Dr.
Grace Obong, anasema ya kwamba wakati wa mchana wanawake pia huvaa
chupi mbalimbali na nguo za kubana ambazo ufanya sehemu zao za siri
kupumua kwa shida sana anaendelea kwa kusema kuwa ingawa inashauriwa
wanawake kvaa material aina ya pamba lakini wanawake wengi hawapendelei
kabisa aina hiyo ya nguo za ndani hivyo ni muhimu wakati wa kulala
usiku kuacha maumbile yapumue vizuri...
Dr
huyo anashauri kuvaa boxer pamoja na pajama baadhi ya magonjwa au
maambukizi yatokanayo na kukiuka hayo hapo juu ni pamoja na
Bacterial vaginosis
Maumbile ya kike yameumbwa kuwa na bacteria ambapo hu balance bacteria wabaya ni wengi ukilinganisha na bacteria wazuri .
Maambukizi yaitwayo Bacterial vaginosis hutokea pale mlingano huu unaposhindwa kubalansi.
mwanamke
mwenye maambukizi upata adha ya kutokwa na majimaji yenye harufu mbaya
na pia wachache hulalamika kupata harufu ya shombo la samaki .Mara baada
ya tendo la ndoa majimaji hayo yanaweza kuwa na rangi ya maziwa au grey
na dalili zngine ni kuungua wakati wa kukojoa magonjwa mengine ni kama
yeast infection na mengine mengi..
Dr anamaliza kwa kusema ni muda wa kulala natural na kuepuka unyevu unyevu usiokuwa wa lazima huko chini.
No comments:
Post a Comment