
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Dkt. Reginald Mengi akimkabidhi kitita 
cha shilingi milioni moja mshindi wa kwanza wa shindano la,  "Tweet Wazo
 Jipya Kuondoa Umaskini", Jilly Gaudence Kyomo katika hafla iliyofanyika
 jijini Dar es Salaam.
 Kushoto ni  Ofisa Mtendaji Mkuu wa Institute Of 
Management and Enterprenuership, Dkt. Donath Olomi. 
Kulia ni mshindi wa 
pili, Peter George aliyejinyakulia shilingi laki tano na mwanafunzi wa 
chuo cha CBE, Ludovick Angelino, ambaye ni mshindi wa tatu 
aliyejinyakulia shilingi laki tatu
 
 
 
No comments:
Post a Comment