Friday 9 August 2013

UKUBWA WA UUME SI KIGEZO CHA KUMRIDHISHA MPENZI WAKO..... CHA MSINGI NI KUWA MTUNDU NA MBUNIFU




Utajuaje kuwa ni kubwa au ndogo? Obviously ni kwa kujipima....lakini wanaume wengi wanapenda au hata kujisifia kuwa wao ni wakubwa, wakidhani ni moja ya sifa au hitaji la muhimu la wanawake.

Umewahi kusikia wanawake wa Kitanzania wanalalamika  au kukimbia "mziki mnene" lakini wanawake wa Kizungu wanafurahia? 


Kwa mujibu wa maelezo ya  Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Wanawake ni kwamba wenzetu (wazungu) hawana utaratibu wa kujiswafi (ondoa Utok**) mara kwa mara, wao wanafanyiwa na Daktari mara moja ndani ya miezi Sita.

  Utok** ukikaa sana Ukeni husababisha Uke kuwa mpana...achilia mbali harufu mbaya na pengine kuwa chanzo cha maambukizi..

Sisi Wanawake wa Kitanzania ambao baadhi yetu tulipata bahati ya Kufundwa, kama unakumbuka unaambiwa wazi kabisa kuwa Utok***  unaotoka Mchana unalinda Uke dhidi ya Magonjwa lakini ule wa usiku una "panua" Uke....ndio maana ni muhimu Kujiswafi asubuhi.

Sasa kama ilivyo kwa Wanawake kuwa tumetofautiana kimaumbile, hali kadhalika wanaume pia wametofautiana. 


Kuna kubwa na ndogo, ndefu na fupi, nene na nyembamba, zilizopinda na zilizonyooka, safi na chafu, laini na ngumu, zenye ukurutu na nyororo...n.k.

No comments:

Post a Comment