JAMANI hamjambo? Kama ada tumekutana kwenye kona yangu Naa miye,
nina imani msemaji ni mmoja siku zote, mshereheshaji akizungumza wote
mnakuwa wasikilizaji mpaka atakapotoa ruhusa.
Siku zote mapenzi ni raha na mkimaliza mpeane asante na mabusu, siyo
mwenzio kageukia ukutani huku kakunja uso na ugonjwa wa tumbo juu.
Wewe ukinyanyuka unajiona mwanaume kwa kumuumiza mwenzio hata,
ukitaka tena hawezi kwa vile tayari ushamtia ugonjwa. Hebu tegeni sikio
ili tuligeuze tendo la ndoa burudani na si mateso. Leo nimeona kuna
umuhimu wa kuwarudisha wanaume darasani ili tufanye wapenzi wetu
wafurahie safari na mkifika mwisho kila mtu atue mzigo wake salama huku
mkishangilia kwa raha ya safari.
Jamani sote tunajua huwezi kuingia shambani na kuanza kulima bila
kufanya maandalizi. Vivyo hivyo katika mapenzi. Hakika kabla ya
kumuingilia mwenzio muandae kwa kuzigusa sehemu zenye kuleta msisimko
ambazo hufanya akili na mwili kujiandaa kwa kufungua njia huku
ukitengeneza ute ili mkikutana msiumizane wala kuchubuana.
Kama huzijui, mshike taratibu kwenye nyayo, chuchu kwenye pachipachi
zote kichwani kunyonya ndimi taratibu. Sehemu hizi ukizigusa taratibu
humtengeneza mwanamke na kuwa tayari kwa tendo.
Nini kinatakiwa kufuatwa baada ya hatua ya awali kutekelezwa kwa
umakini? Si kingine ni tendo lenyewe. Sehemu hii wengi tunaikosea kwa
kutumia nguvu nyingi bila kujua urefu wa kina cha maji tunaingiza mguu.
Sehemu hii inataka akili nyingi na ufundi kuliko nguvu kwa vile
unayefanya naye mapenzi ni mwanadamu siyo gogo hivyo inatakiwa kutumia
akili nyingi na nguvu kidogo. Hata katika mitindo ya mapenzi wakati wa
tendo lazima tuyajue maumbile ya wenzetu kuliko kuwaumiza bila kujua.
Usimpinde mwenzio wakati ukijua maumbile yake mafupi na yako marefu,
kwa kufanya hivyo lazima utamletea matatizo ya tumbo hata kumsababishia
kushindwa kuzaa.
Tunatakiwa tutumie mitindo yenye kuleta raha na si maumivu Tukifanya hivyo lazima wapenzi
wetu watafurahia na kutamani tena na si kulichukia tendo hilo.
Kwa leo yangu yanatosha
No comments:
Post a Comment