Thursday 31 October 2013

Umuhimu wa Urafiki katika mahusiano.. Urafiki katika Mahusiano



Hebu tutafakari mahusiano ya muda mrefu au mahusiano yanayopelekea ndoa!
Kama mnapenda mapenzi yenu yadumu hadi pale “kifo kitakapo watenganisha”, basi ni bora kuhakikisha kwamba mahusiano ama mapenzi yenu yamejengwa katika msingi mkuu na imara  ambao ni – URAFIKI.
URAFIKI ni msingi muhimu katika kutengeneza mahusiano imara na yenye mafanikio. Bila urafiki hamna lolote. Mambo mengine ni ya muhimu pia katika mahusiano, bila ya shaka,  lakini unahitaji ya ziada  ili kuweza kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazojitokeza katika maisha ya mahusiano ambazo hakuna mtu ambaye anaweza kuzikwepa.
Kama mtu binafsi unapaswa kuboresha uwezo wako binafsi pale inapokuja suala la mahusiano. Badala ya kuangalia zaidi upande wa pili wa kutafuta mshirika wa mahusiano ni vyema zaidi ukatumia muda mwingi kutafakari ni aina gani ya mtu ambaye unatarajia kujenga naye urafiki. Kujenga urafiki ndiyo hasa mwanzo wa mahusiano. Ni kushirikiana zaidi kwa kufahamiana, kujuana, kufahamu malengo yenu katika maisha, thamani yenu na yale ambayo kila mmoja wenu anayapendelea ama hapendezwi nayo. Pamoja na mambo mengine mengi mazuri ambayo yatawafanya kuwa wapekee.
Kuna muda wa kutosha sana katika maisha ya mahusiano kwa ajili ya mapenzi na kujitoa kwa mwenzako, hakuna haja ya kukimbilia hayo!
Ni kweli kwamba kadiri unavyo ahirisha kujiingiza katika mapenzi na kujenga urafiki, ndivyo jinsi ambavyo utaweza kujenga mahusiano yaliyo bora na mwenzi wako wa baadaye katika maisha. Kwa mwenendo huo mtajifunza na kuona kama mnaendana na mko tayari kila mmoja kwa mwenzake.
Hivyo basi kama itakuwa hamuendani ama mmoja hayuko tayari kwa mahusiano hayo ni rahisi kuachana huku kila mtu akiwa na utu wake kama mlivyokutana!
Kujenga msingi imara ni muhimu, mara baada ya kuujenga ni rahisi kuendelea kutengeneza maisha na mahusiano mazuri juu ya msingi huo. Chukua muda, fahamianeni, jengeni urafiki ambao mtaweza kuuenzi kwa muda wa miaka mingi katika maisha yenu na hatimaye kuweza kuwa na maisha bora ya mahusiano yenye mafanikio na faida kwa maisha ya pande zote husika.

UNATAKA KUINGIA KWENYE MAPENZI SAWA,JE UPO TAYARI?


UAMUZI wa kuingia kwenye uhusiano wa kimapenzi si sawa na kufanya uchaguzi wa aina ya chakula unachopenda kula. Haufanani na uamuzi wa kuchagua muda wa kulala. Haufanani na kitu chochote kile.
Ni uamuzi makini, ambao unahitaji utulivu na uamuzi wa ndani. Si kukurupuka, maana mwisho wake unaweza kuwa machozi. Hebu jiulize, wewe ambaye unataka kuanzisha uhusiano wa kimapenzi upo tayari?
Suala la utayari halikuhusu wewe kama wewe kwa uamuzi binafsi na hisia zako za ndani pekee, lazima uwe na sifa muhimu ambazo zinakidhi wewe kuwa na mwenzi. Tupo pamoja marafiki?
Yapo mambo ya msingi ambayo lazima yawe yametimia kwako, ndipo uwe na hadhi ya kuwa mpenzi wa mtu. Wanasaikolojia ya Uhusiano, wameelekeza wazi vipengele muhimu ambavyo kijana anapaswa kuvizingatia kabla hajaamua kuingia katika uhusiano wa kimapenzi.
Hata hivyo, tafiti mbalimbali zinaonesha kuwa vijana wengi wanaobalehe au kuelekea kubalehe huwa hawafahamu vipengele hivyo muhimu na hata hao wachache waliopata elimu hiyo elekezi bado hujikuta wakishindwa kufuata taratibu hizo kulingana na mazingira.
Vipo vitu vingi vya kuzingatia, lakini nitafafanua vile vya msingi zaidi, ambavyo vitakuongoza wewe kijana kabla ya kuamua kuingia kwenye uhusiano.
Ni mada nzuri zaidi kwa vijana ambao bado hawajaanza uhusiano, lakini hata kwa aliyeanza, itamsaidia kujua yupo katika kundi gani na nini cha kufanya. Lazima kuna kitu cha kujifunza katika mada hii. Twende darasani.
SUALA LA UMRI
Hili ni la kwanza kati ya yale muhimu zaidi ya kuzingatiwa, lazima uangalie una umri gani? Inawezekana ukawa na umri ambao unadhani una uwezo mkubwa wa kupanga na kuamua mambo yako lakini kumbe siyo!
Unaweza ukaingia katika uhusiano, ukadumu humo kwa muda mrefu sana, lakini wakati huo ukiendelea kukua kiakili, hapo sasa ndipo utakapogundua kuwa kuna makosa uliyofanya awali.
Inashauriwa kwamba vijana ambao wana umri chini ya miaka 18, wasijiingize kabisa katika uhusiano. Huu ni ushauri na mahali pengine siyo ushauri ni lazima! Kama unajijua upo chini ya umri huu, achana kabisa na mapenzi, huu ni muda wako wa kupanga maisha yako ya baadaye.
KWA WANAFUNZI...
Inawezekana ukawa na umri zaidi ya miaka 18, lakini ukawa masomoni, je unaruhusiwa kuwa na mpenzi? Jibu ni hapana...wewe uliye masomoni hususan Elimu ya Msingi na Sekondari hushauriwi kuwa katika uhusiano kwa kipindi hiki. Masomo ni magumu sana kwa ‘levo’ hii na inawezekana ukashindwa kufanya mitihani yako vizuri kutokana na kuwaza mambo mawili kwa wakati mmoja.
Kimsingi ni vitu viwili tofauti ambavyo havichanganyiki. Hii siyo amri, ni ushauri tu! Kama kweli unataka kufanikiwa katika maisha yako ya baadaye, soma kwanza achana na mambo ya mapenzi katika kipindi hiki.
Andaa maisha yako kwanza. Siku moja ukiwa mitaani baada ya kumaliza masomo, ikiwa utabahatika kusoma makala haya kwa mara nyingine gazetini, mtandaoni au hata kwenye kitabu, utajuta na inawezekana ukalia, wakati huo muda utakuwa umeshapita!
FEDHA INAHUSIKA?
Mapenzi na fedha ni vitu viwili tofauti rafiki zangu, lakini kuna wakati fedha inakuwa na nafasi yake katika mapenzi. Siyo kwa maana ya kuhonga au kununua penzi, lakini kwa ajili ya mahitaji ya hapa na pale.
Sasa jiulize, ikiwa wewe ni mwanafunzi, unayetegemea kupewa fedha za matumizi na wazazi wako, utawezaje kugharamia penzi lako?
Ikiwa umekwishamaliza masomo yako, na umri wako unaruhusu (zaidi ya 18), kipengele hiki hakikuhusu, maana penzi la dhati halizingatii fedha. Kama upo masomoni, basi yakupasa usome kwa bidii hadi utakapomaliza masomo yako, mapenzi yapo, utayakuta!
IPO DAWA!
Najua wengi watakuwa na maswali mengi, kwamba kwa sababu tu, mtu anasoma ndiyo asiwe na mpenzi? Au mwingine anawaza atawezeje kuishi bila kuwa na kampani ya jinsia tofauti? Hayo yote ni mawazo yenye maana kubwa katika mada hii. Wataalam wanawashauri wanafunzi kuwa mbali na mapenzi, kwa sababu mapenzi huteka hisia, muda mwingi huweza kuutumia kumuwaza mpenzi zaidi kuliko masomo, sasa kuna haja gani ya kuchanganya mambo wakati inawezekana kuacha?
Haikatazwi kuwa na rafiki wa jinsi tofauti na yako, lakini iwe kwa wema. Kuna mambo mengi unaweza kufanya na rafiki yako kuliko kuwa katika uhusiano wa kingono. Itapendeza kama mtasaidiana kimasomo au kuanzisha mijadala itakayowapa mwanga wa maisha yenu yajayo.
Pamoja na hayo, najua ni vigumu sana kuweza kudhibiti hisia, lakini hilo linawezekana kama utakuwa mtu wa mazoezi, msomaji wa vitabu mbalimbali vitakavyokujenga na mengineyo.
Mchukie kama rafiki yako wa kawaida, weka hisia za mapenzi pembeni, endelea na maisha yako na siku moja muda ukifika na ukiwa tayari utaingia katika uhusiano makini utakaokufurahisha siku zote za maisha yako.
MUHIMU
Katika vipengele vyote nilivyoanisha hapo juu, hasa katika kijisehemu cha kipato na masomo, haviwahusu wanafunzi wa vyuo! Hii inakuwaje? Kwa sababu wengi wao huwa ni watu wazima tayari, wenye ufahamu juu ya mambo mbalimbali ya maisha yao. Wanajua kupambanua mambo na wanajua wanachokifanya.
Wengine huwa tayari wapo katika ndoa au kuingia katika ndoa wakiwa vyuoni, hawa vipengele hivyo haviwahusu. Pamoja na hayo, angalia moyo wako unazungumza nini kabla ya kuingia katika uhusiano. Naamini nimeeleweka.
Tukutane hapa wiki ijayo kwa mada nyingine kali.

FAIDA YA KUMFAGILIA MPENZI WAKO KWA MAMBO YA NDANI NA YA NJE ANAYOKUFANYIA!!

YAPO mengi mazuri ambayo huenda mpenzi wako aliwahi kukufanyia, je uliwahi kumshukuru kwa kukufanya ufarijike? Naamini Mungu amekujaalia kuwa na mpenzi mzuri, mwenye kila sifa ambayo ulitamani awe nayo, je ulishawahi kumsifia hata kwa kumwambia ni mzuri?
Huenda ulishawahi kufanya hivyo lakini kwa taarifa yako wapo ambao wanahisi kufanya hivyo eti ni ulimbukeni. Ulimbukeni? Kumsifia mpenzi wako  unaona ni ulimbukeni wakati wataalam wa masuala ya mapenzi wanaeleza kuwa, wanawake ni watu wanaopenda kusifiwa sana hata kwa madogo wanayoyafanya?
Unaona hatari gani kumsifia mpenzi wako kuwa ni mzuri? Unadhani unatumia nguvu gani kumsifia mpenzi wako kutokana na mahaba mazito anayokupata? 
Kwa taarifa yako unaweza kuona ni kitu kidogo sana  lakini madhara yake kwenye penzi ni makubwa.
Kumsifia mpenzi wako kwa yale anayokufanyia kuna faida nyingi sana lakini kwa leo nitagusia chache. Kwanza kunaongeza mapenzi. Mume/mke anaposifiwa kuwa anajua mapenzi hata kama si kwa kiwango kikubwa, anafarijika sana.
Unapomwambia mpenzi wako: ‘Dear nashukuru kwa mapenzi uliyonipa jana, umenipa furaha ya ajabu ambayo siamini kama kuna mtu mwingine wa kunipa, nakupenda sana’. 
Maneno kama haya hutumii nguvu wala muda mwingi kuyafikisha kwa mpenzi wako lakini uzito wake ni mkubwa. Kwanza anajihisi aliyekamilika kwa kufikia hatua ya kufanya mambo yakamridhisha mpenzi wake na kwa mazingira hayo anaamini huwezi kumsaliti. Hisia hizo zitamfanya azidi kukupenda.
Hilo ni kwa wote yaani kwa mwanaume na mwanamke. Lakini pia unapomsifia mpenzi wako kwa yale anayokufanyia, unamfanya aongeze kasi ya kukufanyia ili nawe uzidi kumpenda. 
Kwa mfano, unapokutana na mpenzi wako kisha ukamwambia ‘umependeza kweli mpenzi wangu, nazidi kukupenda kwa unavyovaa’. 
Mtu anayeambiwa maneno haya atajitahidi sana siku zote aonekane nadhifu na wa kuvutia kwa mpenzi wake akijua kwamba, akivaa ilimradi kuvaa, hatamfurahisha mpenzi wake. Kwa maana hiyo kumsifia mpenzi wako kunamfanya azidi kuwa bora.
Lakini kusifia kusiwe kwa kinafiki. Usimsifie mpenzi wako eti ili kumfanya ajione bora kumbe katika uhalisia siyo hivyo.
Tusifiane pale inapobidi huku tukijua kuwa kwa kufanya hivyo tutapata faida. Tusiwe na tabia ya kuchukulia poa kila tunachofanyiwa na wapenzi wetu. 
Kama kakuridhisha kimapenzi, msifie kwamba yeye ni muhimu kwako kwa kuwa amekupa ulichotarajia. Amekupikia chakula kizuri, msifie kuwa yeye ni mpishi mzuri. Hiyo italinogesha penzi na utashangaa kila siku inayokwenda kwa Mungu penzi lenu linachanua.
Lakini mbali na hayo, unatakiwa kuridhika kwa kile unachokipata kutoka kwa huyo mpenzi wako ulinaye kwa sasa. Najua kwenye uhusiano wengi tumetoka mbali. Wapo waliowahi kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja huko nyuma na kila mmoja alikuwa na kiwango chake cha kukuridhisha. 
Inawezekana kuna ambaye unamkumbuka kwa mapenzi mazito aliyokuwa anakupa zaidi ya huyo uliyenaye. Hiyo ni historia, imepita! Kama huyo uliyenaye si mtaalam sana wa kukufikisha pale unapopata, ridhika na hicho kidogo unachokipata endapo atakuwa anaonesha kukupenda kwa dhati.
Mpe moyo, msifiesifie kidogo kwa hiyo furaha kiduchu anayokupa huku ukiamini kuwa, atabadilika kadiri siku zinavyokwenda.
Kumbuka cha msingi katika maisha yetu ni kumpata mtu mwenye mapenzi ya kweli na si kumpata anayeweza kukuridhisha katika mambo kadha wa kadha

SABABU ZIFUATAZO HUCHANGIA KUVUNJIKA KWA NDOA ZETUU,,,

1-KUJIFANYA WAJUAJI WA KILA KITU KWA WENZA WETU
2-KUJALI MARAFIKI KULIKO

MWENZA WAKO WA NDANI
3-KUTAKA MATUMIZI MAKUBWA KULIKO UWEZO,
4-UONGO KWENYE NDOA,,
5-KUJIONA UKO SAWA NA

MWENZI WAKO KISA TUU

MNALALA KITANDA KIMOJA,,
6-KUSAHAU WAJIBU WA MMOJA WAPO KTK NDOA,,
7-KUOANA KWA SABABU
FULANI,,,MF::PESA, UMAARUFU, KUFULIWA NA KUPIKIWA, MIMBA
ZISIZOTARAJIWA
8-MANENO YA WATU KUYABEBA BILA UCHUNGUZI,,
9-SIMU, FB, TWITTER, WHATSAPP N.K,,,,
10-TAMAA YA MACHO,,,,,

Hata kama yuko mbali, muamini, usimsaliti mtadumu!

Nina uhakika baadhi yetu tuna wapenzi ambao wako mbali, hilo lisikupe shaka. Bado unaweza kuendelea kuliboresha penzi lako na mwisho kutimiza ndoto zenu mlizojiwekea za aidha kuoana kwa wale ambao bado wapo wapo au kudumisha ndoa yenu kwa ninyi mliooana.

Katika hili kuna mambo mawili ya msingi ambayo leo nataka

kuyazungumzia ili kuhakikisha uhusiano wenu hautetereki.  

Kwanza, hakikisha humsaliti mpenzi wako. Ukitaka kufurahia mapenzi, lazima usiwe msaliti. Upo msemo usemao, ukimsaliti mpenzi wako ujue nawe utasalitiwa, sasa ili uepukane na hilo ni vyema ukajiwekea dhana ya uaminifu wewe kama wewe kwanza.

Jisemee mwenyewe; “Kwa nini nimsaliti mpenzi wangu? Nampenda sana na najua nikimsaliti hatajua, lakini na yeye akinisaliti je?” Tafakari maneno hayo kwa makini sana, naamini kuna kitu utajifunza.

Jichunge mwenyewe, usikubali kabisa kuharibu thamani yako kwa kumruhusu mtu mwingine aujue mwili wako kwa kuwa tu umesikia ‘hamu’.

Kumbuka mwili wako ni kwa ajili ya mpenzi wako pekee, endelea na dhana hiyo siku zote utakazokuwa mbali naye, naamini utafurahi!

Kwa kufanya hivyo, hutaona faida yake kwa haraka lakini fikiria hili kwa makini, kama wewe umeamua kuwa mwaminifu kwa mwenzi wako kwa kutambua thamani yake, kwa nini Mungu asikulindie huko alipo? Ila lazima ufahamu jambo moja, Mungu anaweza kukulindia mwenzi wako ikiwa naye anakupenda kwa dhati na ana nia ya kuishi na wewe hapo baadaye.


Jambo lingine la msingi ni kujenga uaminifu kwake. Baada ya kuhakikisha kwamba humsaliti, sasa ni wakati wako wa kuhakikisha unamwamini katika kiwango cha mwisho. Usimwoneshe mashaka sana na nyendo zake. Wakati mwingine unaweza kumpigia simu asipokee, hilo lisikuchanganye.


Kuna baadhi ya watu, akimpigia simu mpenzi wake akiona hajapokea, tayari hisia zake zinakuwa mbali na muda huo huo anamwandikia meseji mbaya za ukali na kumtuhumu kwamba anajua huko aliko anamsaliti! Huna haja ya kufanya hivyo, onyesha kumwamini.


Kama umempigia na simu yake haipatikani, ni wakati wako wa kumwandikia meseji ya kumpa pole kwa kazi kutokana na kutambua kwako kwamba muda huo alikuwa bize.


Mwandikie hivi; “Natambua ni majukumu mengi uliyonayo muda huu ndiyo yaliyosababisha ushindwe kupokea simu yangu, usijali kwa hilo. Nakupenda sana na natambua kwamba mimi ndiye mwenye jukumu la kuhakikisha nakuwa karibu na wewe kwa kila kitu, nakupenda mpenzi wangu, kazi njema.”


Ujumbe huo utamfurahisha, kama alikuwa na nia ya kukusaliti, hawezi kufanya hivyo kwani atakuwa anajua anamsaliti mwenzi ambaye anamwamini katika kiwango cha mwisho.


Kumuamini kwako kutamfanya aone ni jinsi gani ambavyo wewe mwenyewe unavyojiamini na usivyo na wazo la kumsaliti! Kwa nini yeye akufanyie hivyo? Lazima atabadilisha wazo lake.


Mpenzi msomaji wangu, hayo ni mambo mawili ya msingi ambayo unatakiwa kuyazingatia pale unapokuwa mbali na mpenzi wako. Kumbuka kuwa mbali na huyo uliyetokea kumpenda haiwezi kuwa sababu ya nyie kutengana.


Mtatengana tu endapo hakuna mapenzi ya dhati kati yenu lakini kama mmependana kiukweli kutoka mioyoni mwenu, hata muwe mbali kwa muda mrefu kiasi gani, bado hakuna cha kuliua penzi lenu.

WEWE MSICHANA / MWANAMKE UNAKERWA NA KUTONGOZWA OVYO NA WANAUME ?. DAWA YAKE HII HAPA.

Leo nimeona nizungumze juu ya tabia ya baadhi ya wanawake kutongozwa hovyo. Kiukweli ni tabia ambayo inakera. Kila ukipita huku unaitwa, ukienda kule unaitwa, hili tatizo lipo kwa wanawake wengi hasa wa mijini.

Kiukweli hili ni tatizo sugu ambalo linaepukika lakini kuna ugumu kidogo katika kuliepuka moja kwa moja. Mitaani tunapoishi wapo wanaume ambao wasione msichana mrembo akipita, lazima wataanza kumsumbua kwa kumuita na wengine kufikia hatua ya kuwatomasa tomasa sehemu zao nyeti bila ridhaa yao. Mbaya zaidi ni kwamba wanaume hao hufanya hivyo hata kwa wanawake ambao ni wake za watu au wenye wapenzi wao.

Tabia hii huwakera sana baadhi ya wanawake hasa wale wanaojiheshimu na kuziheshimu ndoa na uhusiano wao. Hata hivyo, ili kuwaepuka wanaume wakware wakati mwingine huwa ngumu kwa kuwa wengi wao hawana akili timamu, muda mwingi wao huwaza kufanya ngono tena na kila mtu watakayemuona bila kufikiria madhara wanayoweza kuyapata baadaye.

Niseme tu kwamba, wanaume wa aina hii wapo wengi ila kwa mwanamke anayeiheshimu ndoa yake au uhusiano wake na akaweka nia ya kuwaepuka, inawezekana! Hizi hapa chini baadhi ya njia muhimu za kukabiliana na tatizo hilo la kusumbuliwa hivyo na wanaume.

MAVAZI YAKO YAKOJE?
Wanawake wengi sana hukosea katika suala zima la uvaaji. Baadhi yao hupendelea kuvaa mavazi yanayoonesha maungo yao kiasi cha baadhi ya wanaume kuwachukulia kuwa ni machangudoa.

Ni kweli kwamba mavazi ya mtu hayawezi kumfanya akaingizwa katika kundi la watu fulani na pia kila mtu anao uhuru wa kuchagua avaeje lakini, kwa uhalisia mwanamke asiyeujali mwili wake kwa kuvaa nguo zisizokuwa na heshima, asitarajie kuuepuka usumbufu wa wanaume wapenda ngono. Ni lazima watamtongoza na wakati mwingine kumfanyia vitendo vya kumdhalilisha.

Hivi mwanamke kuvaa ‘kitop’ na suruali inayobana huku ikionesha shepu ya sehemu zako nyeti kisha kukatiza mbele za wanaume kutakuwa kunamaanisha nini kama siyo kujitangaza kwao? Hivi kwa mavazi hayo utakuwa na tofauti gani na wale wanaoijiuza kule Ohio?

Ifike wakati uondokane na ulimbukeni wa kwenda na wakati hasa kwa wewe mwanamke ambaye umeolewa ama una mpenzi wako. Vaa mavazi ya heshima kila unapokwenda.

Mavazi yanayoonesha maungo yako yavae ukiwa na mpenzi wako chumbani. Naamini kwa kuvaa hivyo, kidogo utakuwa unapunguza ile kasi ya wanaume wakware kukusumbua.

TABIA ZAKO VIPI?
Baadhi ya wanawake acha wasumbuliwe kwani tabia zao huwafanya wasiheshimike mbele ya jamii na kuonekana kwamba ni jalala. Unakuta mwanamke anapita mbele za wanaume kisha anatembea kwa kujishebedua huku akitingisha maungo yake makusudi, hapo unatarajia nini?

Achilia mbali hilo, wapo baadhi ya wanawake ambao ni rahisi kuchukuliwa na wanaume. Yaani hawawezi kusema hapana! Ukiwa na tabia hiyo tambua kuwa, kila mwanaume mkware atataka kuweka mhuri wake mwilini mwako.

USITANIANE NA WANAUME!
Wanawake wengine ni wa ajabu sana. Unamkuta anajenga ukaribu sana na baadhi ya wanaume na kufikia hatua ya kutaniana nao katika mambo ambayo mwishowe huwa kutongozana.

Mwanamke aliyeolewa ama mwenye mpenzi wake hatakiwi kujenga ukaribu sana na wanaume wa pembeni. Unapopita maskani wamekaa wavulana, wasalimie kisha chukua hamsini zako, utani wa kijinga epukana nao kwani mwishoni watakutongoza na ukionesha kuchukia watadai walikuwa wanakutania kumbe wako ‘sirias’.

MWAMBIE MPENZI WAKO
Sishauri kila mwanaume atakayekuchomekea umwambie mpenzi wako. Nasema hivyo kwa kuwa, natambua itageuka kero kwa mwenza wako. Ila sasa wapo wanaume ambao ni ving’ang’anizi. Unamweleza kuwa una mpenzi wako lakini hakuelewi ni vema ukamtaarifu mumeo ili akae akijua.

Hiyo itasaidia sana kwani mumeo anaweza kuchukua hatua zinazostahili dhidi yake na hatimaye kuweza kupunguza kasi ya usumbufu huo. Kamwe usithubutu kukaa kimya. Mbaya zaidi ni kwamba unaweza kukuta shemeji yako ambaye ni rafiki wa karibu wa mpenzi wako ama mwanaume anayemfahamu vilivyo mumeo akakutongoza!

Huyu ni hatari sana na wala usisubiri akutongoze mara mbili. Siku ya kwanza tu atakayokutamkia maneno yake ya kipuuzi, kwanza geuka mbogo, mkaripie kwa ukali kisha mpe taarifa mpenzi wako.

Wanaume wa siku hizi wametawaliwa na tamaa zisizokuwa na msingi. Ukitaka wakusumbue watakusumbua kweli na wakati mwingine wanaweza kukushawishi ukamsaliti mpenzio wako.

Kikubwa ni mwanamke kuwa na msimamo. Kutokukubali kugeuzwa kiti cha daladala, kwamba kila mtu anaweza kumchezea. Naamini msimamo huo pamoja na mambo hayo niliyoyataja hapo juu unaweza kuepukana na usumbufu huo kutoka kwa wanaume

KUFIKA KILELENI KWA MWANAMKE NDIO KUKOJE?

"Mimi ni mwanamke wa miaka 30 tatizo kubwa linalonitatiza ni kuwa wakati wa kungonoka na mr. Nitajuaje kama nami pia nimekojoa??ebu nijue shosti coz huwa napata mtihani mkubwa sana sijui kama nishawahi "kukojoa" au la!

Kuna siku nyingine huwa napata raha up to the maximum yaani hadi nalia machozi kabisa sasa sijui huwa huko ndio "nakojoa" kwenyewe au ni mautamu tu?
Please i need the tips za kuniwezesha kutambua "kukojoa"thanx mumy! yours raht!"

 HIZI HAPA SEHEMU 12 ZINAZOMPA RAHA MWANAMKE WAKATI WA TENDO LA NDOA ..... ICHEKI PIA NA VIDEO YA NAMNA YA KUZITUMIA SEHEMU HIZO

Tendo la ndoa au ngono ndilo tendo la furaha lililo kuu kwa binadamu na wakati tendo hilo kwa wanyama lipo kwa ajili ya kuzaa, kwa upande wa binadamu ni zaidi ya kuzaa.


Mapenzi autendo la ndoa ni sanaa hivyo inatakiwa ufundi na ubunifu ili kuweza kufurahia tendo hili.


Yafuatayo ni maeneo 12 yenye msisimko na kama mwanaume utayashughulikia ipasavyo bila shaka mtafurahia uumbaji wake Mungu


Imran Khan and Poorna Jagannathan
1.MIDOMO YAKE.
Tumia mido
mo yako, ulimi wako na meno yako kuchezea mdomo wake wa juu na wa chini na umbusu kwa msisimko mkubwa.


Kunyonya ulimi pia huchangia kuongeza kasi ya mwanamke kwenda kileleni. (usafi wa kinywa kwa wote wawili ni muhimu).

2. UKE NA KINEMBE.
Tumia kidole chako cha kwanza cha mkono wa kulia polepole pitisha katika mfereji wa uke ukianzia chini (kutokea kwenye matako) ukipandisha juu, fanya hivyo mara kadhaa.


Kutegemea umbo lako na urefu, unaweza kuchanganya zoezi hili na kunyonya matiti yake na hapo utaona upumuaji wake ukibadilika na majimaji yakiongezeka kwenye uke.


Kwa kawaida kinembe cha mwanamke kimejificha lakini ukifanya vizuri zoezi la hapo juu na chenyewe kama uume kitajaa damu na kuinuka.


Kinembe kipo juu kabisa ya mfereji wa uke na kina ukubwa wa harage au kwa wanawake wengine huwa kidogo zaidi.


Tumia kidole chako cha kwanza na taratibu zungusha zungusha kidole juu ya kinembe, pandisha na kushusha kidole chako na hapo unaweza kumfikisha kwenye kilele cha utamu wa mapenzi hata kabla ya hujaiingiza uume.


Wanawake wengi watafurahia ukitumia uume wako uliosimama vizuri kupigapiga eneo la kinembe na hii huufanya uume kuwa wa moto na unapomwingilia joto la uume wako litafanya raha ya tendo hili kuwa kubwa zaidi.


Kinembe ndio sehemu ambayo kwa asilima 80 huhusika na kazi ya kumfikisha mwanamke kileleni na kwa kuwa kinembe kiko mbali kidogo toka kwenye tundu la uke, sio rahisi kwa uume kukifikia kinembe, hivyo mwanaume anatakiwa ajisukume kwa makusudi kabisa kwenda mbele ili shina la uumelisugue kinembe wakati wa kuingia na kutoka kwa uume.

3. MATITI YAKE.
Matiti yake ni sehemu muhimu sana kwa mwanamke kama ilivyo
kwa uke wake.Utampatia raha kamili mwanamke kama utayapapasa papasa matiti yake utayaminyaminya kwa upole wa kimahaba,utayalambalamba na kuyanyonya.

4. MASIKIO YAKE.
Wanawake wengi hupata burudani masikio yao yanapolambwa au kunyonywa au kupigwa busu.

5. SEHEMU YA NYUMA YASHINGO
Tumia ulimi wako kulamba sehemu ya shingo yake kwa mwendo w kutekenya tekenya.Tumia ncha ya ulimi kutekenya tekenya kwa kufanya mduara na kuendelea kuchora mduara na kurudiarudia.

6. SEHEMU YA NYUMA YA GOTI.
Sehemu ya nyuma ya goti ina miishio mingi ya mishipa ya fahamu na utashangaa jinsi ambavyo mwanamke atapata
burudani kwa kuishughulikia vyema
sehemu hii.

7. SEHEMU YA NDANI YA MAPAJA.
Tumia ubapa wa kiganja chake kupapasa kwa ulaini sehemu ya ndani ya mapaja yake,fanya hivyo juu juu huku ukimbusu busu mapaja yake.

8. MATAKO YAKE.
Wanawake wengi wanapenda matako yao yachezewe kimahaba,anza kwa kuyapapasa papasa,endelea kwa kuyaminya minya kwa kutumia vidole.

9. MIISHO YAKE.
Miguu yake imejaa miishio ya mishipa ya fahamu kiasi ambacho baadhi ya wanawake wanaweza kufika katika kilele cha burudani ya tendo la ndoa kwa miguu yao kusuguliwa na kupapaswa.

10. USO WAKE.
Mwanamke atafurahi sana utakaposhika uso wake katika hali ya mahaba na huku ukitabasamu.


Wakati ukifanya hivyo unaweza kumbusu midomo yake,mashavu na kwenye paji la uso.

11. HIPS ZAKE.
Sehemu hii ni moja ya sehemu ambazo zitamfanya mwanamke
ajisikie amekubalika kabisa iwapo utashika wakati wa tendo la ndoa.

12. G-SPOT
Sehemu hii iko ndani ya uke ambayo inapata hisia kubwa sana ikibonyezwa bonyezwa,sehemu hii ipo sentimeta 5 kutoka mlango
wa uke na iko katika ukuta wa juu wa uke.Sehemu hii
ikibonyezwa na kuchezewa ipasavyo mwanamke anaweza akapiz mara mbili au zaidi kwa wakati mmoja.


Hii ni njia rahisi ya kumfikisha mwanamke kileleni, mwanaume aingize kidole kwenye uke na kubonyeza na kusugua sehemu ya juu ya uke,sehemu hii imekaa kama sponji na huwa ngumu kwa kadiri inavyobonyezwa.


Mwanamke anaweza kujisikia kama anataka kukojoa kabisa na hawezi kukojoa ila raha atakayopata ni kubwa sana.

NB.Ni muhimu kutambua kuwa sehemu hizi 12 sio kama msarafu, hutofautiana kutoka mtu na mtu.


Suala lililo muhimu sana ni wawili wapendanao kuwa wawazi na wawe na uhuru wa kuambiana jinsi wanavyojisikia

UNAFAHAMU UMUHIMU WA KUKUMBATIWA?????????Soma hapaa uelewe............


Binadamu ana muhitaji sita muhimu katika maisha nayo ni Hewa, Chakula, Maji, Mavazi, Malazi, Kukumbatiwa (hug)
Hugging ni asili, ni kitendo kinachotupa afya, hakina pesticide, wala preservatives zozote.

CHANGAMOTO ZA MAHUSIANO NA WAPI TUNAPOJIKWAA NA SABABU AMBAZO HUHARIBU MAHUSIANO KWA HARAKA SANA.

Kati ya shughuli nzito ambazo huwakumba watu walio katika mahusiano ya kimapenzi au ndoa ni kuhakikisha kuwa mahusiano yao yanakuwa imara. Ni shughuli yenye changamoto nyingi kwani huhitaji uwiano, maana mwanamume na mwanamke wameumbwa tofauti na kila mmoja ana matakwa na matarajio yake.

Je, mwili hufaidi kitu gani unapojihusisha na mapenzi?


Mwili kawaida hutoa kiasi fulani cha kemikali ambazo hufanya ujisikie vizuri ukiwa kwenye mapenzi.

BASATA KUNA KITU WANATAFUTA KUTOKA KWANGU....." NEY WA MITEGO

Siku chache zilizopita mwana Hip Hop kutoka pande za Manzese Nay Wa Mitego alipokea barua kutoka BASATA inayomtaka kubadili aina ya mavazi anayovaa katika show zake (mlegezo/mtepesho) ambayo hayaendani na Tamaduni za kitanzania.

PICHA: DIAMOND PLATNUMZ NAYE AHUDHULIA MAZISHI YA BABA YAKE NA WEMA SEPETU HUKO ZANZIBAR

Ujumbe huo hapo chini unajitosheleza pita ukisoma japo kimya kimya......


Babu Tale, Zamardi na Diamond ndani ya Zanzibar kwaajili ya mazishi ya Balozi Sepetu 
Habari ndo hiyo kwa wazushi. Well done Prezident wa Wasafi na leo naona ametokelezea ki Al Haj zaidi.

MWANAUME AAMUA KUUKATA UUME WAKE BAADA KUKAA MIAKA MINGI BILA KUWA NA GIRLFRIEND

Jamaa mmoja nchini China ameukata uume wake mara baada kuchukizwa na hali ya kutokuwa na demu kwa kipindi kirefu, na mara baada ya kitendo hicho jamaa alikimbizwa hispitali kwa matibabu.

Wednesday 30 October 2013

KUNDI LA BONGO MOVIE LIMEAMUA KUMTENGA WEMA SEPETU KWAKTOKUSHIKI KATIKA MSIBA WA BABA YAKE. SOMA KILICHO SABABISHA

Katika hali isiyotarajiwa katika wasanii wanaounda kundi la Bongo Movie ambalo linaundwa na baadhi ya wasanii wa filamu Swahiliwood wamejikuta wakijitenga kushiriki msiba wa baba mzazi wa msanii mwenzao Wema Isack Sepetu, baada ya kuundwa zengwe na mmoja wa watu wenye ushawishi katika kundi hilo, Wema akiongea kwa huzuni amesema kuwa hata wale waliofika jana katika msiba huo hawakufika kwa ajili ya kumfariji bali walifika kwa ajili ya kumsanifu. 

AINA NANE ZA WASICHANA

Aina 8 za wasichana. Wewe unamfahamu wa aina gani?

Aina 8 za wasichana. Wewe unamfahamu wa aina gani?

TYPES OF GIRLS…
1. COROLLA – Machangudoa. Husaidia wakati wa shida. Kama Tax.
2. BMW – Ghali sana lakini hawafai kuoa. Usually called “wallet virus.
3. NISSAN – Mabeki tatu. Driving school. Kila mtu kajifunzia hapo.
4. RANGE ROVER – Wanapendwa na wengi. Wachache ndo wanaweza kuwamudu. Hutajilaumu ukiwa nae. Anaendana na gharama zake.
5. TOYOTA – Gharama za kawaida na anaaminika. Wana maumbo na size tofauti tofauti. Wanafaa kuoa. Wife material.
6. MERCEDES BENZ – Sensitive! Ukifanya ujinga kidogo tu ndo umeshampoteza na hutakaa umpate tena.
7. JEEP – Wavumilivu. Kila utakapopita daima yuko na wewe. Hakuachi. Huwezi kujua thamani yake mpaka upate misuko suko ya maisha.
8. FIAT – Wana mambo ya kizamani zamani, watii, waaminifu na hawakeri. Wanapendwa na wachache 

BAADA YA KASHFA YA KUPIGANIA PENZI LA RAY CHUCHU ATIMKIA INDIA


BAADA mwigizaji Chuchu Hans kukwaa skendo ya kupigania penzi la Vincent Kigosi ‘Ray’ na mwenzake Blandina Chagula ‘Johari’, amedaiwa kutimkia nchini India wikiendi iliyopita kwa lengo la kupunguza stress.

Habari zilizopatikana kutoka kwa chanzo chetu ambacho ni shosti wa karibu na msanii huyo, zinasema tangu skendo hiyo iliporipotiwa magazetini, amekosa amani na amekuwa mtu wa kujificha sana. 


“Amekwenda kwa shangazi yake India, amesafiri wikiendi hii kwa ndege ya Emirates, tena ili kukwepa macho ya watu ameondokea Zanzibar. Ile skendo imemchanganya sana,” alisema shosti huyo akiomba asitajwe gazetini.

KAPTAIN KOMBA AJITOA MHANGA NA KUSEMA "LOWASSA NDIO RAIS 2015"

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kapteni Mstaafu, John Komba amevunja ukimya na kutamka wazi kuwa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, ndiye chaguo lake na atakuwa Rais ajaye uchaguzi wa 2015.

Komba anakuwa mtu wa pili kumtaja Lowassa hadharani kuwa anafaa kwa rais 2015.

Itakumbukwa Mbunge wa Viti Maalumu, Beatrice Shelukindo (CCM) naye alivunja ukimya baada ya kutangaza kumuunga mkono Lowassa kumrithi Rais Kikwete.

Shelukindo alitoa kauli hiyo wakati akiwasalimia wakazi wa Monduli baada ya kukaribishwa kuchangia ujenzi wa Hosteli ya KKKT, kwenye sherehe za kukaribisha Mwaka Mpya zilizofanyika nyumbani kwa Lowassa na kuhudhuriwa na makada kadhaa wa CCM.

Akizungumza na Mwananchi katika mahojiano maalumu jana, Komba ambaye ni Kiongozi wa Kundi la Uhamasishaji cha CCM Tanzania One Theatre (TOT Plus), alisema mtazamo wake kwa mtu anayefaa kumrithi Rais Jakaya Kikwete ni Lowassa.

Komba aliyeingia kwenye siasa kutokana na msukumo wa mama yake aliyekuwa msaidizi wa Bibi Titi Mohamed, alisema anazo sababu kuu tano za kumkubali Lowassa kuwa Rais na atasimama popote kumtetea.

“Nakuambia Lowassa ndiye anafaa kuwa Rais... unafikiri kuna mwingine. Nina sababu zangu tatu,” alisema Komba na kuhoji:

“Wewe unakwenda kwenye harambee, nani leo hii anaweza kusaidia kuchangia kwa fedha nyingi na zote hizo ni kwa maendeleo yanayokusudiwa kama siyo Lowassa?”

alisema Komba ambaye ni mahiri katika kuinadi CCM, katika kampeni mbalimbali za udiwani, ubunge na urais.Juu ya kuwa atakuwa katika wakati mgumu endapo anayempigia debe hatokuwa, Komba alisema: “Mimi sikwambii ni nani, lakini wapo Mawaziri waliomkana, lakini leo hii wapo kwenye Serikali hii hii ya Rais Kikwete.

“Mimi nasema Lowassa, na kama akipita sawa nitaburudiiika kwelikweli, lakini kama akiteuliwa mwingine, mimi nitakuwa naye...nitamwimbia hadi mwisho. Kazi yangu si unaijua, nitampigia debe kwa kuwa si mtu wa mtu mmoja, ni uteuzi wa wanaCCM ule si wa Komba.” alisema.

Mbali na kumnadi Lowassa, Komba alisifu uimara wa chama chake kuwa kinaimarika siku hadi siku na ndicho kinachotoa viongozi wa kweli na hata wananchi wanakikubali.


Akizungumzia suala la rushwa ndani ya CCM, Komba ambaye pia ni Mbunge wa Mbinga, alisema kama chama kuna watu wa aina nyingi, kuna wasafi, kuna wachafu lakini wote wako kwenye mstari mmoja.

Alisema kuwa vita ya rushwa ndani ya CCM itamalizika endapo kila kiongozi atasimamia kwenye haki na maadili ya uongozi na pia kutambua wajibu wake ndani ya chama.Komba alijipigia upatu kuwa ameleta maendeleo katika jimbo lake kwani jimbo linatazamika ikilinganisha na miaka ya nyuma kuwa wananchi walikuwa wakiishi maisha ya tabu na kimaskini ilhali wana

Picha za mwili wa marehemu baba Wema Sepetu ulipoagwa jijini Dar jana jioni

BABA mzazi wa staa wa sinema za Kibongo ambaye pia ni Miss Tanzania 2006/2007 Wema Sepetu, Balozi Abraham Isaac Sepetu ameagwa jana  jioni  nyumbani kwake Sinza - Mori jijini Dar es Salaam. 
 
Tukio hilo lilihudhuria na viongozi mbalimbali wa kiserikali akiwemo Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba, Getrude Mongela pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Benard Membe na wengine wengi waliofika kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu aliyefariki dunia Jumapili ya wiki iliyopita.
 
Waziri Membe kwa niaba ya serikali ametoa salamu za rambirambi na kuchangia kiasi cha shilingi milioni  1, “Kwa niaba ya serikali tumechangia kiasi cha shilingi milioni 1. Hata mimi pia nilimfahamu marehemu kwa muda mrefu na alikuwa kiongozi makini, Mungu alilaze roho ya marehemu mahali pema peponi amen,” alisema Waziri Membe.
 
Mwili wa marehemu unatarajiwa kusafirishwa leo asubuhi kuelekea Zanzibar tayari kwa mazishi.
 
 
 
 
  
 
 
 
 
 
 

JENEZA LA DIAMOND LAZUA UTATA,WADAU WASEMA ANAFATA NYAYO ZA KANUMBA


STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ ambaye hakaukiwi na stori, safari hii amekuja na mpya baada ya kuibuka na jeneza lenye msalaba ambalo limeibua maswali mazito, Risasi Mchanganyiko linakupasha.

Diamond akipozi na madansa wake siku alipoingia na jeneza katika Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni, Dar.
Diamond ambaye wimbo wake mpya wa ‘Number One’ upo katika chati ya juu katika muziki huo, usiku wa kuamkia Jumapili iliyopita aliingia na jeneza hilo katika Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni, Dar na kusababisha maswali mengi tata kutoka kwa mashabiki waliojazana kwenye onesho la Serengeti Fiesta 2013. 
ILIKUWA SAPRAIZI
Mapaparazi wa Risasi Mchanganyiko waliokuwa wamejaa katika viwanja hivyo wakihakikisha wananasa matukio muhimu hasa yale ‘exclusive’, walipenyezewa mapema kuhusu Diamond kuingia na jeneza.

Mtoa habari alisema Diamond aliingiza jeneza viwanjani humo kwa lengo la kupanda nalo jukwaani wakati akiimba wimbo wake uitwao Nikifa Kesho ambao mashabiki wake wengi wanasema amejichulia kifo.
Kwa sharti la kutoandikwa jina lake gazetini, mtoa habari huyo ambaye ni mtu wa karibu na Diamond alisema:
“Diamond amekuja na jeneza, limefichwa kule nyuma wanakobadilishia nguo wasanii, atapanda nalo jukwaani. Anataka kuwafanyia sapraizi mashabiki wake.”


Diamond akifanya shoo na madensa wake Jumapili iliyopita baada ya kutelekeza jeneza lake.

SAPRAIZI YAKWAMA
Hata hivyo, baada ya matatizo ya kiufundi yaliyojitokeza, Diamond hakuweza kupanda jukwaani Jumamosi usiku huo na badala yake akatakiwa kupanda kesho yake Jumapili ambapo pia hakulitumia jeneza hilo kama mawazo yake ya awali yalivyokuwa.
Mapaparazi wetu walisaka sehemu lilipohifadhiwa jeneza hilo na kufanikiwa ambapo pia walikuta baadhi ya watu wakilishangaa na kuulizana maswali.
 
MASWALI TATA
Nurdin Ali, mkazi wa Mbagala, Dar aliyeliona jeneza la Diamond alisema:
“Mimi namkubali sana huyu bwana mdogo lakini sasa mambo ya majeneza jukwaani ya nini tena?

“Sikubaliani na hili suala. Hata wimbo wake wa Nikifa Kesho sioni kama una mantiki. Ni kama tu anajitabiria kifo. Anapita mlemle alimopita marehemu Kanumba, maana naye aliimba wimbo akielezea itakavyokuwa siku akifa, ikawa kweli.
“Lakini Diamond amekwenda mbele zaidi kwa kuamua kuja na jeneza kabisa stejini. Sijui amenunua au amekodisha, ila sikubaliani naye hata kidogo.”
 
MATUMIZI YA JENEZA
Mwingine aliyekataa kuandikwa jina lake gazetini alisema:
“Halafu kama lengo lake lilikuwa kuonesha uhalisia wa kifo katika wimbo wake, kwa nini asingekuja na jeneza la imani yake? Angalia, jeneza lina msalaba ambao unakubalika katika imani ya Kikristo, kwa nini asije na jeneza la Kiislamu au sanduku ambalo halina msalaba?”

Akaongeza: Au inawezekana huyu jamaa anataka kubadili dini ili aoane na Penny (Penniel Mungilwa) ambaye ni Mkristo kwa sababu huku ni kukana imani yake kimyakimya.” 
ALIWAHI KUTANGAZA KUJENGA MSIKITI
Shabiki mwingine alikwenda mbali zaidi na kusema kama Diamond ni muumini mzuri wa Kiislamu tena mwenye lengo la kujenga msikiti kama alivyowahi kutangaza siku za nyuma, anatakiwa kutofungamana kabisa na ishara zinazoonesha anaunga mkono imani nyingine.

“Anapaswa kuwa makini na mambo yake na awe na washauri wazuri, vinginevyo atakuwa anafanya mambo yanayoibua maswali mengi kwa jamii inayomwamini,” alisema shabiki huyo aliyejitambulisha kwa jina moja la Jennifer. 
HUYU YUPO TOFAUTI
Shabiki aliyejitambulisha kwa jina la Hamadi Hajj (34) mkazi wa Kijitonyama, Dar alisema:
“Hakuna uhusiano wowote kati ya hili jeneza na mambo ya kubadilisha dini au kuiunga mkono. Kikubwa ni lengo alilotaka litimie.
“Ukiachana na hilo, mambo mengine yako wazi jamani. Upatikanaji wa majeneza ya Kikristo ni rahisi zaidi tofauti na ya Kiislamu. Wabongo wanapenda sana kukuza mambo,”  alisema Hajj.
 
HUKU RISASI, KULE DIAMOND
Siku hiyohiyo, usiku huohuo, mapaparazi wetu walimbana Diamond kuhusu kutinga Leaders na jeneza ambapo alijitetea hivi:
“Ni swaga tu zile.”
Alipobanwa zaidi na kuulizwa ni swaga gani zinazochanganywa na vitu vinavyoashiria huzuni na imani ambayo si yake, alisema:
“Nilitaka kuwafurahisha mashabiki wangu na kuwapa uhalisia wa ule wimbo wangu wa Nikifa Kesho, sikuwa na nia ya kukashifu imani ya mtu.”
 
FIESTA PART II
Baada ya shoo yake kushindikana na kuhamishiwa siku iliyofuata (Jumapili), timu yetu ilitinga viwanjani hapo ili kujua kama Diamond angepanda na jeneza hilo kama alivyotarajia lakini jeneza halikuwepo eneo lilipohifadhiwa awali.
Diamond alipofuatwa na kuulizwa kama mpango wake bado uko palepale, alijibu:

“Lile jeneza nilipanga kupanda nalo jukwaani wakati nikiwa naimba wimbo wangu wa Nikifa Kesho lakini kwa bahati mbaya sikuweza kupanda kuimba kutokana na matatizo ya kiufundi, leo (Jumapili) nisingeweza kupanda nalo kwa kuwa muda tuliopewa ni mfupi sana,” alisema Diamond.
Alipobanwa kuhusu kutumia jeneza la Kikristo na kuhusishwa na fununu za kubadili dini, alisema hana mpango huo kabisa.
“Naomba nieleweke, mimi sikuwa na nia tofauti zaidi ya kuwakilisha kilichopo katika wimbo wangu. Lengo lilikuwa kuonesha uhalisia tu wa kibao changu cha Nikifa Kesho, siyo zaidi ya hivyo,” alisema.

Inasemekana kwamba Diamond aliamua kubadilisha uamuzi wake wa kupanda na jeneza jukwaani siku hiyo baada ya kunyetishwa na watu wanaomtakia mema kuwa asingeonesha picha nzuri kwa jamii, hasa kwa vile jeneza hilo lilikuwa na msalaba juu ya mfuniko.
katika Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni, Dar

WANAJESHI WALIO IBA VITU WESTGATE WAKATI WANAPAMBANA NA MAGAIDI WAFUNGWA

Nairobi, Kenya. Wanajeshi wawili nchini Kenya wamefutwa kazi na kufungwa jela kwa kitendo cha kupora mali wakati wa shambulizi la kigaidi kwenye Jengo la Westgate mwezi jana.  Hayo yamesemwa na mkuu wa jeshi la Kenya, Julius Karangi.

Karangi amesema kuwa mwanajeshi wa tatu aliyeshukiwa kwa uporaji anachunguzwa.


Awali Karangi alikanusha kuwa wanajeshi walifanya uporaji kwenye jengo hilo licha ya picha za CCT kuonyesha wanajeshi wakibeba mifuko ya plastiki kutoka kwenye moja ya maduka makubwa yaliyokuwa ndani ya Jengo la Westgate.


Hivi karibuni wanamgambo wa Somalia, al-Shabaab walikiri kufanya shambulizi hilo na kuwateka  nyara Wakenya kadhaa waliokuwa ndani ya jengo hilo kwa siku nne.


Watu 67 walifariki na mamia ya wengine kujeruhiwa.


Wakati huohuo, mkuu wa kitengo cha uchunguzi wa uhalifu katika idara ya polisi,Ndegwa Muhoro alisema kuwa mmoja wa magaidi waliokuwa ndani ya jengo hilo walipiga simu nchini Norway wakati walipovamia jengo hilo.


Mmoja wa washukiwa wa shambulizi hilo ametajwa kuwa Hassan Abdi Dhuhulow mzaliwa wa Somalia ambaye ana uraia wa Norway.


Jeshi limesema kuwa magaidi wote wanne waliofanya shambulizi hilo waliuawa.